Monday, January 16, 2012

Introducing Vijana na Katiba

TYC have launched a new blog 'Vijana na Katiba'


Karibu kwenye "blog" ya Vijana na Katiba inayoletwa kwenu na Tanzania Youth Coalition (T.Y.C).Dhumuni la "blog" hii ni kuwapa fursa vijana ya kushiriki kwenye mchakato wa mabadiliko ya katiba kwa kutoa na kuchangia maoni yao.